MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI MPYA SERIKALI YA KOREA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Msimamizi wa   Ujenzi wa  Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bw. Lee Sang Rae (kushoto) kuteremka kwenye mnara uliomwezesha kuona eneo lote  la ujenzi wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa mji huo lililopo Sejong, Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu  utakaosaidi kuboresha ujenzi unaoendelea wa mji wa serikali  Dodoma. (Picha na